Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- kugoma kula chakula Mama huyu wa Kipalestina ni kutaka kutambua sababu ya kushikwa kwake na kifanya kosa gani.
Mama huyu aishi bila kunywa wala kula kuonyesha kua Tumbo lake haliwezi kutia kilichokua cha haramu ndani yake, ili awe kama Sheikh Khidhr Adnan ambae aligoma kula chakula cha Israel kwa muda siku 66.
Kwa kosa la kugoma kula chakula Wakili wa Hanaa Ash shabliy Shirin Iraqi alieleza kuwa; Hanaa kwa sababu ya mgomo wake alihamisha Jela kupelekwa sehemu nyengine.
Polisi ya Isrsel ilieleza kuwa Hanaa alikuwa na lengo la kujiripua na ndio sababu ya kushikwa kwake ila kauli hiyo ya Polisi ya Israel ilikanushwa na kupingwa vikali na Hanaa na Wakili wake kuwa si sababu ya nsingi ya kushikwa kwake.
Mama huyu alinasibishwa na Ukoo wa Jihadi Islam kwani yeye ni Dada Hudaa Ash shabliy Mwanamke alieshkwa mdogo mwaka 1987 na pia kuwa Dada wa Shahid Saamir Ash shibliy ambae aliuawa mwaka 2005.
NA HII NDIO HADHI YA MWANAMKE WA KIISLAMU KUWA DHIDI YA MAADUI WA UISLAMU KUONYESHA MSIMAMO WA DINI YAKE.